Waraka wa Paulo kwa Waefeso Contributor(s): Mwashinga, Christopher, Jr. (Author) |
|
ISBN: ISBN-13: 9798666909997 Publisher: Independently Published OUR PRICE: $9.45 Product Type: Paperback Published: July 2020 |
Additional Information |
BISAC Categories: - Religion | Biblical Criticism & Interpretation - New Testament |
Physical Information: 0.3" H x 5" W x 7.99" (0.32 lbs) 128 pages |
Descriptions, Reviews, Etc. |
Publisher Description: Waraka wa Paulo kwa Waefeso, ni moja ya barua za muhimu sana katika Biblia-Agano Jipya. Katika waraka huu, Mtume Paulo anaelezea kwa undani jinsi Mungu alivyowafanya Wamataifa na Wayahudi kuwa kitu kimoja katika Kristo. Anafunua siri kuu ya ukombozi na kuonesha kwamba watu wote, yaani Wayahudi na wasio Wayahudi ni sawa mbele za Mungu na kwamba wote wanaokolewa kwa neema kwa njia ya imani. Kupitia kwa Yesu Kristo, wote ni watoto wa Mungu na wote ni wenyeji katika maskani yake. Ujumbe wa Paulo katika waraka huu, umeifanya Habari Njema ya wokovu, kuwa Habari Njema kweli kweli. Mwandishi wa kitabu hiki, Mchungaji Christopher Mwashinga, amezielezea sura tatu za kwanza za Waraka huu, kwa namna rahisi, fungu kwa fungu, na kufanya ujumbe wa Paulo ueleweke vizuri kwa msomaji yeyote bila kujali kiwango chake cha elimu. |