"Mahubiri Yenye Maana!": Mwongozo Mfupi Kwa Ajili YA Tafsiri Sahihi Katika Kujenga Mahubiri Yenye Maana Yatokanayo Na Mafundisho YA Biblia. Contributor(s): Mullins, Jeff (Author), Marwa, Joseph Musuma (Translator) |
|
ISBN: 1492713139 ISBN-13: 9781492713135 Publisher: Createspace Independent Publishing Platform OUR PRICE: $9.49 Product Type: Paperback Language: Swahili Published: January 2014 |
Additional Information |
BISAC Categories: - Religion | Christian Ministry - Pastoral Resources |
Physical Information: 0.21" H x 6" W x 9" (0.32 lbs) 100 pages |
Themes: - Religious Orientation - Christian |
Descriptions, Reviews, Etc. |
Publisher Description: This book it intended to help Swahili speaking pastors and laymen to understand how to properly interpret the Bible and prepare sermons that are consistent with correct interpretation. Kitabu hiki kimeegemea katika kigezo kuwa haiwezekani kuhubiri na kufundisha Biblia kwa uaminifu pasipo ufasiri makini na sahihi. Ijapokuwa kina lengo katika kuhubiri, sehemu kubwa ya kitabu hiki itakuwa na faida kwa yeyote anayetaka kujifunza kwa ajili yake mwenyewe au anayehudumu katika kufundisha Biblia kwa kiwango chochote. Katika kusoma utagundua ni nini kinachochangia na kusababisha ujumbe mzuri na kugundua kitu kinachoitwa "Ujumbe Mzuri, Uandishi Mbaya. Njia mbaya za utafsiri zinagundulika na kukosolewa. Njia ya kutafsiri ambayo humheshimu Mungu na yenye kutoa tafsiri sahihi, mara zote itatetewa. |