Limit this search to....

Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania
Contributor(s): Chachage, Chachage Seithy L. (Author)
ISBN: 9987735274     ISBN-13: 9789987735273
Publisher: E & D Vision Publishing Limited
OUR PRICE:   $18.99  
Product Type: Paperback
Language: Swahili
Published: January 2014
Qty:
Additional Information
BISAC Categories:
- Political Science | Globalization
Physical Information: 0.58" H x 5.06" W x 7.81" (0.60 lbs) 276 pages
 
Descriptions, Reviews, Etc.
Publisher Description:
Katika sehemu ya kwanza na ya pili ya kitabu, Chachage anafanya uchambuzi wa kina wa mfumo wa utandawazi na soko huria. Makala yake juu ya zao la tumbaku na korosho yanadhihirisha wazi madhara yaliyowapata wakulima wadogowadogo katika soko huria, kwa maana nyingine, anaelezea juu ya uhuru waliopewa wafanyabiashara wanunuzi wa mazao ya wakulima bila usimamizi wa serikali. Kwa ustadi mkubwa, msomi wetu pia anachambua nafasi na hali ya wachimbaji wadogowadogo na jinsi wawekezaji katika migodi wanavyochuma rasilimali zetu bila kunufaisha nchi wala wazalishaji wadogo. Jambo hilo siyo geni. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala katika magazeti ambayo inaonesha waziwazi jinsi wawekezaji katika madini wanavyonyonya nchi hii na kujilimbikizia utajiri. Hata hivyo, watawala huendelea kuegemea upande wao bila kujali ustawi wa jamii yetu. Sehemu ya Utangulizi